Matumizi mabaya ya maji katika mto Ewaso Nyiro yafanya nyanda za juu za mto huo kukosa maji safi

  • | Citizen TV
    384 views

    Katika juhudi za kuutunza mto Ewaso Nyiro, mkataba wa makubaliano uliafikiwa kati ya kaunti tatu za Isiolo, Laikipia na Samburu. Na licha ya mvua kunyesha, wakazi wa kaunti za Samburu na Isiolo walio katika nyanda za chini za mto Ewaso Nyiro hawapati maji safi na yakutosha kutumia.