Matumizi ya dawa za kulevya eneo la Kibra jijini Nairobi

  • | K24 Video
    159 views

    Matumizi ya dawa za kulevya bado ni donda sugu humu nchini, utafiti wa shirika la kudhibiti matumizi ya dawa za kulevya nchini maarufu kama NACADA unaonyesha kuwa kwa kila mkenya 1 kati ya 6 walio kati ya umri wa miaka 15 na 65 wanatumia angalau dawa mmoja au zaidi.robi omondi alizuru eneo la Kibra jijini Nairobi ambapo alifanya mahojiano na watu 2 walioasi uraibu wa dawa za kulevya na kutuandalia taarifa ifuatayo.