MATUMIZI YA DAWA ZA MAUMIVU KUPINDUKIA NI JANGA NCHINI MAREKANI

  • | VOA Swahili
    Katika afya hivi leo tunaangazia matumizi ya dawa kupita kiasi. Matumizi ya dawa aina ya Fentanyl yameongezeka sana na kusababisha vifo vingi hapa nchini Marekani. Mwandishi wa VOA Veronica Balderas Iglesias anaelezea jinsi janga la Covid lilivyosukuma kando kutupiwa jicho tatizo hili la matumizi ya dawa kupita kiasi.#DL #VOA