Matumizi ya 'pampers' na sodo yachangia uchafuzi mkubwa wa mazingira

  • | K24 Video
    154 views

    Miaka sita baada ya serikali kupiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki kufuatia athari zake kwa mazingira, changamoto nyingine imeibuka. Matumizi ya 'pampers' na sodo yamechangia uchafuzi mkubwa wa mazingira. bidhaa hizo mbili ambazo hutumiwa na watoto na watu wazima zimejaa mitaani takriban katika kila pembe ya nchi.