Matumizi ya pikipiki za umeme.

  • | BBC Swahili
    728 views
    Makampuni kadhaa nchini Kenya yameanzisha matumizi ya pikipiki za umeme ambazo ni za bei nafuu na zenye mfumo rahisi kutumia. Hii inakuja wakati Teksi za pikipiki [au bodaboda] ambazo ni muhimu katika kusafirisha watu na bidhaa katika majiji ya Afrika zikitajwa kuongeza viwango vya juu vya uchafuzi wa hewa, ambapo katika maeneo kama Nairobi mara nyingi huzidi viwango salama. Mwandishi wa BBC Yusuf Jumah ameandaa taarifa hii #bbcswahili #kenya #ebike