Mauaji ya mbunge wa Kasipul I Yabainika Ong’ondo Were alipigwa risasi tano

  • | KBC Video
    6,629 views

    Mwanapatholojia mkuu wa serikali Johansen Oduor amethibitisha kwamba fursa ya kuponea kifo ya marehemu mbunge wa kasipul Charles Ong’ondo Were mnamo Jumatano iliyopita ilikuwa finyu. Hii ni baada ya uchunguzi wa maiti uliofanywa na mwanapatholojia huyo, kufichua kwamba alipigwa risasi mara tano, huku risasi hizo zikisalia mwilini na kuathiri viungo muhimu. Na kama anavyoripoti Abdiaziz Hashim, washukiwa wanne wanaoaminika kuhusika mauaji hayo watasalia korokoroni kwa siku 30 zijazo, huku maafisa wa upelelezi wa jinai wakiendelea kuwasaka wahusika zaidi wanaoaminika kuhusika.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive