Mauaji ya Mbunge Were

  • | Citizen TV
    1,973 views

    Washukiwa wanne waliokamatwa kuhusiana na mauaji ya Mbunge wa Kasipul Charles Ong’ondo Were wanatarajiwa kufikishwa mahakamani. Afisa wa polisi ni kati ya washukiwa hao wanne, huku Uchunguzi ukiashiria kuwa alikuwa miongoni mwa waliowasaidia waliohusika na mauaji.