Mauaji ya Ong’ondo yaibua wasiwasi kuhusu makubaliano ya Ruto na Raila

  • | NTV Video
    708 views

    Mauaji ya Mbunge wa Kasipul Kabondo, Charles Ong’ondo Were, sasa yanatishia kuyasambaratisha makubaliano baina ya serikali ya pamoja baina ya Rais William Ruto na kiongozi wa upinzani Raila Odinga.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya