Mwanahabari aeleza jinsi alivyompiga picha afisa wa polisi aliyedaiwa kumuua Rex Masai

  • | Citizen TV
    3,566 views

    MWANAHABARI ALIYEMPIGA PICHA AFISA WA POLISI ANAEDAIWA KUMFYATULI RISASI MWANADAMANAJI REX MASAI AMEIELEZA MAHAKAMA JINSI ALIVYOMPIGA PICHA POLISI HUYO ISAAIAH MURAGIRI KWA SIKU MBILI MFULULIZO. MWANAHABARI HUYO ANASEMA KUWA ALIFUATILIA MURAGIRI KUTOKANA NA JINSI ALIVYOKUWA ANAWAFYATULIA WANAHABARI NA WAANDAMANAJI VIZOA MACHOZI KIHOLELA. KANDO NA HAYO PICHA HIZO ZILIZOWASILISHW AMAHAKAMANI ZILIONYESHA ALAMA ALIYOKUWA NAYO SHINGONI NA BANGILI YENYE JINA LAKE ALIYOKUWA AMEVALIA MKONONI