Mauaji ya Wanawake I Taasisi za umma zatakiwa kutenga asilimia 1.5 ya bajeti kwa masuala ya jinsia

  • | KBC Video
    29 views

    Tume ya kitaifa ya jinsia na usawa inataka taasisi za umma kutenga asilimia 1.5 ya jumla ya bajeti yao ya kila mwaka kwa mipango ya ujumuishaji wa masuala ya jinsia. Katika ripoti iliyotolewa na tume hiyo kuhusu hali ya usawa wa kijinsia na ushirikishwaji katika sekta ya umma, ripoti hiyo inaonyesha kuna wanawake wachache kuliko wanaume katika sekta ya umma, asilimia 6 ya wafanyakazi wako kwenye nyadhifa za usimamizi, huku asilimia 1.6 pekee ya wafanyakazi ikijumuisha watu wenye ulemavu ambayo ni upungufu wa asilimia 5 inayohitajika. Fredrick Parsayo na taarifa kamili huku tume hiyo ikitoa wito wa kutengwa kwa raslimali zaidi kwa afisi huru za kikatiba.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive