Maudhi ya ya kichapo cha polisi: Jamaa afariki Trans Nzoia

  • | K24 Video
    Wakazi ya kijiji cha Mlimani Namanjalala kaunti ya Trans Nzoia wamepaza sauti zao kulalamikia hatua ya maafisa wa polisi kutumia nguvu kupitia kiasi na kumesabanisha mmoja wao kufariki duniavwakati wa kutekeleza amri ya rais Uhuru Kenyatta ya kutotoka nje.