'Maumbile yangu ni ya kiume lakini jinsia yangu ni ya kike'

  • | BBC Swahili
    Sharon alizaliwa kama huntha mwenye jinsia mbili -ya kike na ya kiume. "Wakati nimeanza kubaleghe nilikuwa na mahangaiko mengi mno , kwani mwili wangu ulianza kubadilika ukiegemea upande wa kiume zaidi , ila kiashiria cha jinsia yangu kilikuwa kimesalia cha kike baada ya upasuaji. Sharon @sharonngeru ndiye mgeni wetu wa leo katika Waridi wa BBC jukwaa la wanawake na Anne Ngugi. Je anaishi vipi? Je anamwenza? Je nini husababisha hali hii ? • • • #intersex #waridiwabbc #wanawake #mama #huntha #bbcswahili
    sex