Mavazi wakati wa mwezi wa Ramadhani

  • | BBC Swahili
    422 views
    Kujizuia kula, kunywa na kuongeza ibada ni baadhi ya mambo yanayochukua sehemu kubwa ya mfungo wa Ramadhani. Lakini kwa wengine uvaaji pia ni sehemu muhimu ya utekelezaji wa mfungo huo. Mwandishi wa BBC, Rashid Abdallah amezungumza na wafanya biashara wa mavazi ya kiislam, kuona jinsi biashara hiyo inavyo kwenda wakati wa mwezi huu. #bbcswahili #ramadhani #mwezimtukufu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw