Mavazi yenye kiasili ya kiafrika yanayovaliwa na wanasiasa mjini Mombasa

  • | K24 Video
    39 views

    Wanasiasa wengi huonekana kuvaa mavazi yanayoambatana na hafla wanazohudhuria. wengine wakipendelea nguo za rangi zinazoonyesha ukereketwa wao wa vyama wanavyohudumu, baadhi wakivaa mavazi yenye asili ya kiafrika. je ushawahi kujiuliza ni wapi wanakonunua nguo hizo?