Mawakili Busia wasusia mahakama, kushinikiza hakimu mkuu aondolewe

  • | Citizen TV
    165 views

    Chama cha wanasheria nchini tawi la Busia kimetangaza kuwa mawakili 30 katika kaunti ya Busia wamesuisia shughuli za mahakama kuanzia Jumatatu wiki hii kwa madai kuwa hakimu mkuu wa mahakama ya Busia Edna Nyaloti anahujumu utendakazi wao...

    Wakizungumza nje ya Mahakama ya Busia hii leo wakiongozwa na rais wao Nabulindo Dolan, mawakili hao kadhalika wamesisitiza kuwa hawatahudhuria kesi zozote zinazoendelezwa na hakimu mkuu huyo katika koti nambari moja