Mawakili eneo la Magharibi walalamikia hali ya umaskini inayozuia wananchi kutafuta haki

  • | Citizen TV
    318 views

    Umaskini na gharama ya juu ya kulipia kesi imewafanya wakazi wengi katika eneo la Magharibi mwa Kenya kushindwa kupata haki. Kulingana na muungano wa mawakili kanda ya Magharibi wakazi wengi wameshindwa kutafuta haki kutokana na gharama ya kufungua faili za kesi mahakamani.