Mawakili wa Koimburi wapinga madai kwamba alijiteka nyara

  • | NTV Video
    3,224 views

    Mawakili wa mbunge wa Juja anayedaiwa kutekwa nyara George Koimburi wamepinga taarifa ya inspekta mkuu wa polisi Douglas Kanja kuwa mbunge huyo alijiteka nyara kwa ushirikiano wa wandani wake wa karibu.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya