Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam hii leo imesikiliza upande wa Jamhuri juu ya hoja za mawakili wa Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA Tundu Lisu, ambao walipinga hatua ya kesi kusikilizwa kwa njia ya mtandao. Hapo awali, mahakama ilitoa taarifa kuwa kesi ya uhaini inayomkabili Lisu itasikilizwa kwa njia ya mtandao. Ulinzi uliimarishwa nje ya mahakama huku waandishi wa habari na wafuasi wa chadema wakizuiliwa kuingia ndani ya mahakama.
#tundulissu #tanzania #bbcswahili #bbcswahilileo
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
16 Jun 2025
- Tanzanian opposition leader Tundu Lissu told a court on Monday he had been denied his basic legal rights and that he would defend himself against a treason charge that carries the death penalty.
16 Jun 2025
- The Director of Public Prosecutions (DPP) has told the court that Nairobi Central Police Station OCS Samson Taalam interfered with crucial evidence related to an ongoing investigation into the death of Albert Ojwang in police custody.
16 Jun 2025
- Former Deputy President Rigathi Gachagua has urged the Kenyan youth to avoid taking to the streets on June 25 to commemorate the deadly aftermath of the anti-tax protests , warning that there is a plot to kill them.
16 Jun 2025
- Former Chief Justice David Maraga now wants president William Ruto to take action following the heinous murder of teacher Albert Ojwang', saying the buck stops with him as the head of government.
16 Jun 2025
- The government is in the process of reviewing the current labour laws to align them with the emerging issues in the world of work, with an aim of advancing social justice for all.