Mawakili wadai si halali Rais Ruto kuwaregesha aliosema hawafai

  • | NTV Video
    4,285 views

    Kauli mbali mbali zinaendelea kutolewa kuhusu mapendekezo katika baraza la mawaziri, baadhi ya mawakili wakijadili kwa kina uhalali wa Rais William Ruto kuwaregesha watu aliokuwa amewatimua awali.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya