Mawakili wakerwa na Serikali ya Kakamega kutoheshimu uamuzi wa Mahakama

  • | West TV
    53 views
    Chama cha mawakili nchini (lsk) tawi la kakamega kimeisuta afisi ya mwanasheria mkuu na ile ya kamishna mshirikishi eneo la magharibi kwa kupuuzilia mbali maamuzi ya mahakama na viongozi wa kisiasa kutishia maisha ya wafanyikazi wa idara hiyo ya mahakama .