Mawaziri 4 wanakutana na waakilishi wa KMPDU

  • | Citizen TV
    348 views

    Mawaziri wanne kwa sasa wanakutana na wawakilishi wa madaktari kwenye juhudi za kutafuta suluhu kusitisha mgomo wa siku nane uliotatiza huduma katika hospitali za umme nchini. Mkutano huu katika jumba la KICC unahudhuriwa na mawaziri wa afya, leba, hazina kuu ya kitaifa na utumishi wa umma na unajumuisha tume ya mishahara ya SRC na baraza la mawagavana. Mkuu wa wafanyakazi felix koskei akizungumza awali amesema mkutano unaangazia maswala 19 yaliyotolewa na madaktari na yale ya serikali. Mkutano huu kwa sasa unaendelea