Mawaziri 5 waliorejea

  • | Citizen TV
    3,611 views

    Kipchumba Murkomen, Salim Mvurya, Alfred Mutua, Justin Muturi na Rebecca Miano ni mawaziri wa zamani ambao wamerejeshwa serikali hii leo. Watano hawa wakiwa kati ya wenzao watano waliorejeshwa kwenye awamu ya kwanza ya baraza la Rais William Ruto. Na kama Stephen Letoo anavyoarifu, watano hawa ambao majina yao yote ya pili yanaanza ya herufi 'm' ndio chagua la rais ruto kuendeleza safari yake ya Kenya Kwanza.