Mawaziri 9 kati ya 10 walioteuliwa Vihiga wakula kiapo

  • | West TV
    26 views
    Mawaziri 9 kati ya 10 walioteuliwa na Gavana wa kaunti ya Vihiga Dkt Wilber Otichilo wameapishwa rasmi hii leo huku mmoja akitupwa nje kwa kukosa stakabadhi zilizohitajika