Mawaziri Aden Duale na kindiki wahojiwa kwenye kikao cha kamati za ulinzi na usalama wa ndani

  • | K24 Video
    87 views

    Waziri wa ulinzi Aden Duale na mwenzake wa usalama wa ndani kithure kindiki wamekuwa na wakati mgumu kueleza utaratibu uliotumika kutuma jeshi katika operesheni inayoendelea kaskazini mwa Bonde la Ufa. Mawaziri hao walidai kuwa operesheni ilikuwa ya dharura na hivyo, walitumia sheria inayoruhusu wanajeshi kujumuishwa wakati wa dharura. Hata hivyo, wabunge katika kikao cha kamati za ulinzi na usalama wa ndani wamesema mawaziri hao walikuwa na muda wa kutosha kuwasilisha maombi yao katika bunge