Skip to main content
Skip to main content

Mawaziri Joho, Wandayi, Mbadi na Ruku waonekana kuchachawiza zaidi siasa

  • | Citizen TV
    10,630 views
    Duration: 2:42
    Mawaziri serikalini sasa wanaonekana kujihusisha pakubwa na mikutano ya kisiasa mara kwa mara. Baadhi yao sasa wamegeuza afisi zao kuwa majukwaa ya mikutano ya vyama vya kisiasa, kwenye hatua iliyotajwa kukinzana na kanuni za ofisi zao. Maswali yakiibuka kuhusu hali hii.