‘Mawe yaliporomoka kama risasi’ – manusura wa tetemeko Taiwan

  • | BBC Swahili
    3,290 views
    Zoezi la uokoaji linaendelea nchini Taiwan ili kuwapata takribani watu 100 ambao wamekwama ikiwa ni siku moja baada ya tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7.5, kutokea katika kisiwa hicho Jumatano asubuhi. Tetemeko hilo linatajwa kuwa kubwa zaidi kuwahi kutokea katika kipindi cha miaka 25. #bbcswahili #taiwan #tetemekotaiwan Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw