Skip to main content
Skip to main content

Mayatima ambao wazazi wao waliteketezwa wateseka

  • | Citizen TV
    1,070 views
    Duration: 3:26
    Wiki mbili baada ya watu wanne wa familia moja kuteketezwa ndani ya nyumba yao katika kijiji cha Nyamakoroto kule Nyamira, Watoto Mayatima walioachwa wanapitia changamoto nyingi. majirani wanataka asasi za usalama kuwatendea haki kwani kovu hilo linazidi kuwalemea.