Mazishi ya June Moi nyumbani kwake Bahati Nakuru

  • | Citizen TV
    3,757 views

    Viongozi wa Azimio la Umoja One Kenya wakiongozwa na rais mstaafu uhuru kenyatta wanahudhuria mazushi ya mwanawe hayati daniel arap moi, june moi. Ibada ya wafu inafanyika katika kanisa la kabarak kabla ya mazishi nyumbani kwake bahati.