Mazishi ya mwimbaji wa injili Penina Musula

  • | West TV
    6,577 views
    Msanii wa nyimbo za injili Penina Musula amezikwa jumamosi hii nyumbani kwake katika kijiji cha lwandeti friends wadi ya manda shivanga eneo bunge la Malava kaunti ya Kakamega kwenye hafla iliyohudhuriwa na mamia ya wapenzi wa nyimbo zake na wasanii wenzake kutoka eneo hili la magharibi na bonde la ufa