Mazishi ya watoto wa familia moja yafanyika Gaza

  • | VOA Swahili
    297 views
    Mazishi yalifanyika kwa ajili ya wanafamilia moja kubwa ya Palestina, wakiwemo watoto, huko Ukanda wa Gaza Jumapili baada ya kuuawa kufuatika shambulizi la anga la Israel katika mji wa Khan Younis. Miili 13 ilitolewa kutoka chini ya kifusi na bado baadhi ya watu hawajulikani walipo. Jeshi la Israeli limeanzisha mfululizo wa mashambulizi ya anga dhidi ya malengo huko Ukanda wa Gaza kulipiza kisasi shambulizi lililofanywa na watawala wa Hamas ambalo halijawahi kutokea katika eneo hilo. Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu alisema nchi yake ilikuwa katika vita na maadui wake watalipa gharama kubwa. Mamia ya watu wamekwisha uuliwa kaztika pande zote mbili huku wasiwasi ukiongezeka mgogoro huo kuenea sehemu kubwa. #israel #gaza #reels #igreels #videography #voa #hamas