Skip to main content
Skip to main content

‘Mazungumzo ya Iran na Marekani yapo au hayapo’

  • | BBC Swahili
    26,376 views
    Duration: 1:45
    Je kuna mazungumzo ya kusitisha mapigano yanayoendelea kati ya Marekani na Iran? Wakati upande mmoja, Marekani, unasema kuna mazungumzo yanayoendelea na yenye tija ya kumaliza vita, na upande mwingine, Iran, inasema “hapana, hayapo”, basi nani aaminiwe? @mariammjahid na taarifa zaidi: - - #bbcswahili #trump #iran #marekani #israel #vita Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw