Skip to main content
Skip to main content

Mazungumzo ya Iran na Marekani yatafaulu? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    16,830 views
    Duration: 28:10
    Rais wa Iran ameamrisha kuanza tena kwa mazungumzo ya nyuklia na Marekani, akiongeza kuwa mazungumzo hayo yanahitaji mazingira yasiyo na vitisho na matarajio yasiyo na msingi. Haya yanajiri saa chache baada ya rais Trump kusema kuwa alikuwa na matumaini ya makubaliano yatakayozuia makabiliano ya kijeshi. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw