Mazungumzo ya kusitisha mgomo wa madaktari yatibuka

  • | Citizen TV
    1,024 views

    Mvutano kati ya madaktari na serikali unaendelea huku muungano wa madaktari wakikataa kutia saini mkataba wa kurejea kazini katika mkutano ulioendelea hadi usiku wa kuamkia jumamosi hii. Madaktari wanasema mgomo bado unaendelea. Na kama vile Emily Chebet anvyoarifu, upande wa serikali ulitia saini mkataba huo ambao madaktari wamekataa kuidhinisha.