Mazungumzo ya uwiano kati ya Kenya Kwanza na Azimio la umoja yarejelewa leo

  • | Citizen TV
    490 views

    Mazungumzo ya uwiano yanarejelewa hii leo huku upande wa Kenya Kwanza na Azimio wakitarajiwa kuratibu ajenda kuu ambazo zitazungumziwa kwenye mkutano huo. Mkutano huo unajiri baada ya naibu rais Rigathi Gachagua kupuuzilia mbali mazungumzo hayo na kusema kuwa yataambulia patupu.