Skip to main content
Skip to main content

Mazuri zaidi kwa Harambee stars | Wachezaji kupata nyumba za serikali kwa bei ya mkato

  • | Citizen TV
    2,811 views
    Duration: 3:12
    Wachezaji wa timu ya taifa ya soka Harambee Stars sasa wana fursa ya kununua nyumba za serikali kwa nusu ya bei, baada ya serikali kupunguza gharama yake kwa shilingi milioni moja. Rais Ruto ametangaza haya alipokutana na wachezaji wa timu hii walioshiriki mechi ya CHAN baada ya kuondolewa kwenye kinyang'anyiro cha robo fainali