Skip to main content
Skip to main content

Mbinu mpya ya kudhibiti magugu yazinduliwa kwa wakulima wadogo

  • | Citizen TV
    76 views
    Duration: 1:16
    Kampuni ya Rainbow Agro sciences limited imezindua teknolojia mpya ya kudhibiti magugu wakati wa mkutano na wanahabari uliofanyika katika hoteli moja jijini Nairobi. Teknolojia hiyo imezinduliwa kukabiliana na moja wapo wa changamoto kubwa zinazowakabili wakulima,na inadhamiriwa kuendeleza ubunifu wa kilimo na kukidhi mahitaji ya wakulima wadogo na wa kibiashara kwa kupunguza magugu na kuongeza faida ya kilimo.