MBINU ZA KUBAINI HABARI ZA UONGO (FAKE NEWS)

  • | VOA Swahili
    Nyakati hizi ambapo kuna habari nyingi za uongo zinazosambaa, imekuwa vigumu sana kwa watu kubaini ukweli ni upi. Lakini kama Tina Trinch anavyoripoti, makampuni ya teknolojia yanasaidia watu kupata maarifa ya kutofautisha habari za uongo na zile za ukweli.