Mbio za uhamasisho kuhusu ugonjwa wa saratani miongoni mwa watoto zaandaliwa katika msitu wa Karura

  • | KBC Video
    44 views

    Wakenya wa matabaka mbalimbali walijumuika kwenye matembezi na mbio za kampeni ya uhamasisho kuhusu ugonjwa wa saratani miongoni mwa watoto. Mbio hizo zililenga kuchangisha shilingi milioni 5 kugharamia matibabu na shughuli za uhamasisho kuhusu saratani miongoni mwa watoto. Mbio hizo na matembezi ziliandaliwa katika msitu wa Karura chini ya maudhui `be bold go gold` kuadhimisha mwezi septemba kama mwenzi wa kimataifa wa utoaji hamasisho kuhusu saratani miongoni mwa watoto.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #cancer #cancerawareness