Mbio za UltraMarathon 2025 yatafanyika Maasai Mara nchini Kenya

  • | TV 47
    38 views

    Mbio hizi zitaandaliwa mwezi Novemba, tarehe 15.

    Mashindano haya yatafanyika Maasai Mara nchini Kenya.

    Wanariadha 500 kutoka kote duniani kushiriki mbio hizi.

    Mashindano haya huchangisha pesa kwa minajili ya kuhifadhi mazingira.

    Pia huchangisha pesa kwa miradi ya jamii ya Maasai Mara.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __