- 11,059 viewsDuration: 51sHaya ni mashindano ya kipekee yanayofanyika kila mwaka katika eneo la Piliyandala, Sri Lanka, ambapo watu hushindana kubeba vitanda vya mbao vyenye uzito wa kilo 35 kwa umbali wa kilomita 8. Tukio hili hufanyika wakati wa sherehe za Mwaka Mpya wa Sinhala na Tamil na linaonyesha utamaduni wa kijiji hicho pamoja na historia yao ya useremala, ambapo zamani watu walikuwa wakitengeneza na kubeba vitanda kuvipeleka sehemu mbalimbali kwa ajili ya kuviuza. Ahmed Bahajj anatuelezea kwa kina #bbcswahili Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw