Mbolea bandia ya bei nafuu,Bungoma

  • | West TV
    115 views
    Polisi mjini Bungoma wanamzuilia dereva mmoja wa lori anayekisiwa kusafirisha mbolea inayotajwa kuwa bandia huku taasisi za uchunguzi na ukaguzi zikitarajiwa kutoa ripoti ya uchunguzi kuhusu mbolea hiyo