Mbolea ya thamani ya shilingi 29.5 iliibwa Meru wakati wa maandamano

  • | KBC Video
    34 views

    WIZI WA MBOLEA MERU

    Wizara ya kilimo na ustawi wa mifugo imeshutumu uporaji pamoja na uharibifu mali katika bohari la bodi ya nafaka na mazao lililoko katika eneo la Maua, kaunti ya Meru.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive