Mbuge Martin Wanyonyi amtaka Gachagua kukomesha siasa za chuki

  • | Citizen TV
    598 views

    Huku malumbano ya kisiasa yakiendelea Mlima Kenya, Mbunge wa Webuye Mashariki Martin Wanyonyi amemtaka Naibu Rais Rigathi Gachagua kufanya uamuzi wa kusaidia Rais William Ruto kutimiza ahadi zao. Akizungumza na Waandishi wa habari Mjini Webuye, Wanyonyi amesisitiza umuhimu wa umoja bila upendeleo katika eneo la kati .