Mbunge Elachi amtaka Raila kuingilia mzozo wa chaguzi ndogo ODM Dagoretti

  • | NTV Video
    116 views

    Mbunge wa eneo la Dagoretti Kaskazini Beatrice Elachi sasa anataka kinara wa ODM kuingilia kati na kuita kikao na viongozi haswa wa eneo la Dagoreti ili kutoa suluhu kuhusu chaguzi ndogo za chama hicho katika eneo hilo.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya