Mbunge Koech ashutumiwa kwa kutaka waandamanaji wauawe kwa risasi

  • | Citizen TV
    10,098 views

    Mbunge wa Belgut Nelson Koech amejipata pabaya kwa matamshi yake ya kuwataka maafisa wa polisi kuwapiga risasi na kuwauwa waandamanaji ambao wanavamia na kuharibu mali. Koech ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi bungeni akisema sheria inawaruhusu maafisa wa polisi kutumia nguvu hizo