Mbunge Robert Mbui aendeleza shutuma dhidi ya serikali kuchelewesha mgao wa hazina huko Kathiani

  • | Citizen TV
    104 views

    Mbunge wa Kathiani Robert Mbui ameendeleza shutuma dhidi ya serikali kwa kuchelewesha mgao wa hazina ya ustawishaji maendeleo ya maeneobunge nchini CDF. Mbui akishinikiza msimamo wa awali wa baadhi ya wabunge wa kutaka kuwasilisha mswada wa kutokuwa na imani na waziri wa hazina kuu ya kitaifa Profesa Njuguna Ndung'u. Aidha, amemlaumu Rais Ruto kwa kutotimiza ahadi kuwa CDF ingetoka mapema kufanikisha elimu za wanafunzi