Mbunge wa Banissa Kullow Maalim Hassan kuzikwa leo alasiri

  • | Citizen TV
    1,440 views

    Mbunge wa Banissa Kulow Maalim Hassan atazikwa leo alasiri baada ya kufariki katika hospitali ya Aga Khan hapa jijini Nairobi.