Mbunge wa Budalangi ataka serikali kutoa Mgao zaidi wa CDFC

  • | West TV
    Mbunge wa Budalangi Raphael Wanjala ametoa wito kwa Serikali kutoa mgao zaidi wa CDFC kwa maeneo bunge ambayo yanachangamoto ya mafuriko kwani kila wakati fedha nyingi zinatumika baada ya majanga hayo