Mbunge wa Embakasi ya Kati asimamia msako dhidi ya pombe haramu katika eneobunge hilo

  • | Citizen TV
    1,073 views

    Mbunge wa Embakasi ya Kati Benjamin Mwangi, ametoa onyokali Kwa wauzaji wa pombe haramu katika eneo la Embakasi Kwa kusema yakuwa siku zao zimehesabiwa mwangi aliyasema Hayo wakati aliandamana na maafisa wa polisi wa eneo la kayole wakati wa msako wa kuharibu na kuishika walanguzi wa pombe Hiyo haramu katika eneo la matopeni lililopo eneo la Embakasi ya Kati ambo pombe bandia ambayo thamana take haijulukani iliweza kushikwa.