Mbunge wa Fafi Salah Yakub ashambuliwa na watu wasiojulikana eneo la Dagega

  • | Citizen TV
    2,058 views

    Msafara wa mbunge wa Fafi Salah Yakub ulishambuliwa na watu wasiojulikana katika eneo la Dagega alipokuwa akirejea kutoka mazishi ya mtu moja aliyeuawa usiku wa kuamkia jana katika kile kinacho aminika kuwa kisa cha kulipiza kisasi baada ya watu wasita kuuwawa eneo la Kunaso .